Hii ni
ajira ya muda wa ziada. Uandishi kwenye blog. Unapewa blog ya kuandika habari zako unazozipenda unaifanya blog yako ijulikane na watu duniani kisha kila mwisho wa mwezi unakuwa unalipwa kwa kila anayesoma blog yako.
Kazi hii unaweza kuifanya kwa kutumia simu ya smartphone sio lazima uwe na kompyuta. Malipo ni mazuri sana. Hutajutia kufanya kazi hii yao uandishi kwenye blog. Unaweza kutuma maombi yako na kupewa
blog leo hii hii tuma sms whatsap au telegram au wasapu kwa namba hii 0652428852
Je unaweza kuandika nini kwenye blog ili watu waipende na kuitembelea kila siku?
Hili ni swali zuri na ndiyo chanzo cha mafanikio kwenye kazi hiii ya uandishi wa blog.
Vipo vitu vingi vya kuandika ambavyo watu wanapendelea kuvitafuta kwenye mitandao kama blogs. Baadhi ya vitu hivyo ni kuandika habari zinazotangazwa kwenye vyombo vya habari kama Televisheni magazeti na redio unatakiwa uwe mfuatiliaji mzuri wa habari zinazungumziwa sana ndizo za kuandika kwenye blog yako. Mfano kama Rais Magufuli amezungumza kitu kuhusina na Mkuu wa mkoa wa Dar es salam na wiki hiyo habari nzito ilikuwa mkuu wa mkoa kupiga vita madawa ya kulevya basi tengeneza habari yenye uadilifu kutoka kwenye tukio hilo kisha andika kwenye blog yako muda si mrefu utakuta watu wanamiminika kwenye blog yako kutoka google search wakisoma habari hiyo. Angalizo tu usiiandike vibaya serikali au kiongozi wa serikali kwakua hakuna anayeweza kupambana na serikali hata kama awe na pesa namna gani. Kuwa mpole maisha yasonge mbele. Tafuta kipato chako achana na siasa inakupotezea muda japo ina mchango mkubwa katika kuboresha maisha yako lakini hakuna jinsi kwa nchi kama Tanzania.
Unaweza kuamua kufundisha mambo mbalimbali yahusuyo jamii kama jinsi ya kuendeleza kilimo cha kisasa, unaweza kuamua kufundisha masuala ya afya tu au kitu chochote ambacho una ujuzi nacho au kitu ulichosomea chuoni.
Je niandike habari ngapi kwa siku au kwa wiki?
Kisheria unapopewa blog unatakiwa kuandika habari zaidi ya tatu kwa wiki yaani kwa siku saba lakini kama unataka upate wasomaji wengi andika habari angalau moja kila baada ya saa moja au masaa mawili. Hizi ni habari unazozipata toka kwenye vyombo vya habari kama television au redio lakini kama umeamua kufundisha jamii mambo fulani unaweza andika makala moja kwa siku au kwa siku mbili. Ni vizuri uchanganye habari na matukio ya kila siku na makala za kufundisha jamii kitu unachokijua zaidi.
Je hiyo blog nayopewa naweza imiliki mpaka napozeeka?Ndiyo unaimiliki kwa ngazi ya uandishi pia ukipata matangazo toka kwa watu wako tunakuwekea kwenye blog hiyo na pesa zote ni zako sisi hatuchukui hata shilingi kwakua tayari tuna matngazo yetu matatu kwenye blog hiyo. Unaimiliki blog maishani ili mradi tu usikiuke masharti ya uandishi ambayo unapewa siku ya kwanza unapopewa blog kama vile lazima uandike habari au makala si chini ya tatu ndani ya siku saba yaani kila wiki lazima uandike angalau habari tatu au makala tatu. kutofanya hivyo blog hiyo anapewa mwingine. Soma masharti yote na malipo kwa kubonyeza hapa
Tuma ujumbe sasa ukiwa whatsapp 0652428852 ukiwa telegram 0652428852 ukiwa kwenye mtandao wa wasapu 0652428852 elezea unataka kuandika mambo gani na unatoka mkoa gani wilaya gani. utajibiwa leo leo na kupewa blog leo leo.
Unaweza kuuliza wali hapa chini karibu sana
EmoticonEmoticon