Millionaire  Ads

Tuesday, March 28, 2017

Taifa langu kwanza, Ney wa mitego na wimbo uliosababisha akamatwe na polisi

Tags

Unamfahamu msanii ajulikanaye kwa jina la ney wa mitego alitoa wimbo ambao unadhaniwa kuwa ni kuikashifu serikali ya Tanzania. Mijadala imekuwa ikiendelea mitandaoni kuwa ney wa mitego ameimba wimbo uliokashifu serikali. Pia wengine wameripoti Ney wa mitego amekamatwa na polisi kuhusiana na wimbo huo na ikasemekana kuwa wimbo huo umefungiwa na BASATA Baraza la sanaa Tanzania. 


Katika pita pita yangu mitandaoni nikakutana na habari ikielezea kuwa Ney wa mitego amepata mwaliko ikulu kwa rais na siku moja nyuma niliona sehemu imeandkwa Rais Magufuli aamuru Ney wa mitego aachiwe huru kwani Hata yeye rais amependa wimbo huo pia anamshauri Ney wa mitego kuendelea kukosoa na aende mbele zaidi  akosoe hata wale wanaouza madawa ya kulevya na kuyatumia.

Ndugu msomaji wa blog hii unapata picha gani hapa. Je ney wa Mitego yupo sahihi? Je na wasani wengine waige kutoa nyimbo kama hizo?

Unaweza toa maaoni kwa comment hapa chini. Kumbuka matusi kashfa hazirihusiwi. Sheria ya makosa ya kimitandao isije kukuangukia. Jadili kwa lengo la kujenga si kubomoa. Pia unaweza kuungana na watanzania wenzio kujadili chochote kwenye forum maarufu Tanzania bonyeza hapa  "Taifa langu kwanza."
---------------------------------------------------------------------------------------------------

Announcement: We hire bloggers, Do you want to start blogging business? We give you a blog and we pay you per each blog user who read your blog. The blog will contain our advertisements but you will be allowed to place unlimited local advertisement  and earn more money. Using telegram or whats app check us +255652428852 you will start blogging business today and create your own job

Do you know wasapu social network? Wasapu is the best app that you can make free calls and send unlimited sms, wasapu pays group admins. Create a group then add members last wait for salary each month. Download "Wasapu" from google play


EmoticonEmoticon