Ajira zilizotangazwa ni mtandao wako kijana unaetafuta kazi. Utapata habari zote zinazohusiana na ajira kazi zinazotangazwa utumishi kazi zinazotangazwa kwenye makampuni kazi zinazotangazwa kwenye mashirika binafsi na ajira zote kama ajira za walimu ajira JKT na kwingineno.
Una kampuni unataka wafanyakazi wenye ujuzi andika tangazo lako la kazi tuma kwenda kwenye email hii maalumu onlinelibrarytz.ajira@blogger.com Tangazo lako litakuja hapa moja kwa moja huduma hii ni bure hulipii chochote. Mtandao huu unatembelewa na vijana zaidi ya elfu kumi kwa siku hivyo utapata wafanyakazi wenye ujuzi na taaluma unayotaka.
Nawe kijana unayetafuta kazi usisubiri mpaka uone tangazo ndio utume maombe tumia mtandao huu kujitangaza kile ulichosomea. andika ujumbe ukielezea umesoma kozi gani na unatafuta kazi gani kisha tuma kwenda kwenye email ya onlinelibrarytz.ajira@blogger.com ili wanaohitaji wafanyakazi wawasiliane na wewe moja kwa moja.
Tumia fulsa pata ajira Tumia fulsa pata wafanyakazi wenye ujuzi